Genesis 45:1

Yusufu Anajitambulisha

1Hapo Yusufu hakuweza kujizuia zaidi mbele ya wote waliokuwa wamesimama karibu naye, akapaza sauti, akasema, “Mwondoeni kila mtu mbele yangu!” Kwa hiyo hapakuwepo mtu yeyote pamoja na Yusufu alipojitambulisha kwa ndugu zake.
Copyright information for SwhKC